Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » YANGA YAMTAMBULISHA CÉLESTIN ECUA KUTOKA IVORY COAST
    KITAIFA

    YANGA YAMTAMBULISHA CÉLESTIN ECUA KUTOKA IVORY COAST

    ChikaoBy ChikaoAugust 2, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Klabu ya Yanga imemtambulisha rasmi mshambuliji Célestin Ecua, raia wa Ivory Coast mwenye umri wa miaka 23, kama mchezaji mpya wa kikosi chao kwa msimu ujao, akitokea klabu ya Zoman FC ya nchini kwao.

    Ecua alikuwa kwenye kiwango bora msimu uliopita akiwa na Zoman FC, ambapo alifunga magoli 15 na kutoa ‘assists’ 12 katika michuano yote aliyoshiriki. Uwezo huo ulimuwezesha kushinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Msimu (MVP) nchini Ivory Coast.

    Kwa ujio wake, safu ya ushambuliaji ya Yanga SC inaendelea kuimarika zaidi, ikiwa ni maandalizi ya kushiriki michuano ya ndani na kimataifa kwa mafanikio makubwa.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleCAF YAMFUTA KAZI MKURUGENZI MKUU WA WAAMUZI KUFUATIA SAKATA LA FAINALI YA WAFCON YA WANAWAKE
    Next Article BARCELONA YAVUNA ZAIDI YA BILIONI 130 KUITANGAZA CONGO

    Related Posts

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    April 19, 2026

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    April 19, 2026

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    April 19, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    SINGIDA BLACK STARS WAZIPIGA MKWARA SIMBA, YANGA NA AZAM FC

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.