Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป WINGA SANCHO KUTIMKIA AS ROMA YA ITALIA
    KIMATAIFA

    WINGA SANCHO KUTIMKIA AS ROMA YA ITALIA

    ChikaoBy ChikaoAugust 15, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    sancho
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Winga wa Manchester United, Jadon Sancho, yuko kwenye hatua za mwisho za kujiunga na AS Roma kwa mkopo wa mwaka mmoja.
    Kwa mujibu wa taarifa, thamani ya dili hilo inafikia euro milioni 20, dau ambalo AS Roma wanaamini litaivutia Manchester United kukubali.

    Sancho, ambaye amejiunga na Manchester United katika kipindi kilichopita, amepitia changamoto kubwa za kupata nafasi ya kudumu kikosini. Mara kadhaa ametolewa kwa mkopo ili kuimarisha kiwango chake, lakini bado ameshindwa kujipenyeza kwenye kikosi cha kwanza cha United.

    Ripoti pia zinaeleza kuwa uhusiano kati ya Sancho na klabu hiyo ulivunjika tangu enzi za kocha Erik Ten Hag, na kilichosalia sasa ni pande zote kuheshimu masharti ya mkataba wao uliopo.

    AS Roma Manchester United
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleNYEMBERE ATEULIWA KUONGOZA KAMATI YA MUDA “TPBRC”
    Next Article AZAM FC YAMALIZA KAMBI KARATU KWA KUTEMBELEA NGORONGORO

    Related Posts

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    April 7, 2026

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    April 4, 2026

    TETESI: TIMU YA MESSI YAMFUKUZIA BERNARDO SILVA

    March 25, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.