Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » WIKI YA WANANCHI HATI HATI KUTOFANYIKA MWAKA HUU
    KITAIFA

    WIKI YA WANANCHI HATI HATI KUTOFANYIKA MWAKA HUU

    ChikaoBy ChikaoAugust 13, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    wiki ya wananchi yanga
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu ya Yanga Ally Kamwe ameweka wazi kuwa kuna ugumu wa kufanya sherehe za wiki ya wananchi kwa mwaka huu kutokana na ugumu wa ratiba na upatikanaji wa uwanja.

    “Tunapamba siku ya Wananchi iwepo lakini kuna changamoto nyingi tunapitia, ukiangalia mashindano ya CHAN yanaisha tarehe 30 na tarehe 1 kuna Kalenda ya FIFA na tarehe 11 kuna ngao ya Jamii lakini changamoto kubwa ni Uwanja”.

    “Ukifanya Wiki ya Wananchi maana yake tutafanya bila Wachezaji wetu wote na itakuwa kwa mara ya kwanza, tunaendelea kupambana na ikipatikana jibu sahii tutakuja kuwajibu.” Amesema Kamwe.

    Yanga SC
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleCAF YAPATA WASIWASI USALAMA KENYA, KUHAMISHA MECHI ZILIZOSALIA
    Next Article ISAK KUTOKUICHEZEA TENA NEWCASTLE HATAKAMA AKIKOSA TIMU

    Related Posts

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    April 8, 2026

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    April 8, 2026

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    April 7, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.