Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » WACHEZAJI WA CHELSEA WATOA BONASI ZAO KWA FAMILIA YA DIOGO JOTA
    KIMATAIFA

    WACHEZAJI WA CHELSEA WATOA BONASI ZAO KWA FAMILIA YA DIOGO JOTA

    ChikaoBy ChikaoAugust 15, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Chelsea
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Wachezaji wa klabu ya Chelsea wameamua kutoa sehemu ya bonasi zao za ushindi wa Kombe la Dunia ngazi ya Klabu kwa familia za wachezaji Diogo Jota na André Silva waliofariki kwa ajali ya gari mwezi Julai 3,2025.

    Chelsea walitwaa taji hilo julai 13 na kuvuna zaidi ya shilingi bilioni 302 za Kitanzania kama zawadi ya ushindi huku wachezaji wakitengewa bilioni 41 za Kitanzania kama bonasi.

    Wachezaji hao ambao kila mmoja anakadiriwa kupata bonasi ya Bilioni 1 walikubaliana kutoa sehemu ya bonasi hiyo kwa familia ya Jota aliyekuwa nyota wa Liverpool na mdogo wake Andre Silva waliofariki kwa pamoja Nchini Hispania.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleCHUMA CHA SIMBA, NEO MAEMA KIMEAGWA RASMI MAMELODI
    Next Article TETESI ZA SOKA ULAYA LEO IJUMAA 15-08-2025

    Related Posts

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    April 7, 2026

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    April 4, 2026

    TETESI: TIMU YA MESSI YAMFUKUZIA BERNARDO SILVA

    March 25, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.