Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป Viktor Gyokeres ni mchezaji ‘Special’ – Ronaldo
    KITAIFA

    Viktor Gyokeres ni mchezaji ‘Special’ – Ronaldo

    ChikaoBy ChikaoAugust 10, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Mshambuliaji na nyota wa Al-Nassr, Cristiano Ronaldo amemrushia maua yake mchezaji mpya wa Arsenal, Viktor Gyokeres akimuita mwanasoka ‘Special’.

    Gyokeres alihamia Arsenal akitokea Sporting ambapo alifunga mabao 97 katika mechi zaidi ya 100 alizocheza na klabu hiyo kwenye mashindano yote.

    Hata hivyo, Ronaldo, ambaye pia alianza soka lake la kulipwa katika klabu ya Sporting, alisisitiza kwamba klabu yake ya zamani itabakia klabu bora yenye ushindani licha ya Gyokeres kuondoka.

    “Siku zote huwa naitakia mema Sporting na wanaweza kuwa mabingwa tena,” Ronaldo alinukuliwa na Metro UK akisema.

    “Viktor alikuwa mchezaji wa kipekee, lakini Sporting italazimika kuzoea.” alimalizia Ronaldo.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleSIMBA KUCHEZA NA TIMU KUTOKA BOTSWANA CAF
    Next Article KOCHA FADLU DAVIDS AFICHUA HESABU KUELEKEA MSIMU MPYA

    Related Posts

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    April 19, 2026

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    April 19, 2026

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    April 19, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    SINGIDA BLACK STARS WAZIPIGA MKWARA SIMBA, YANGA NA AZAM FC

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.