Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป Tatizo la Man U lipo kwa klabu sio wachezaji – Ruud Gullit
    KIMATAIFA

    Tatizo la Man U lipo kwa klabu sio wachezaji – Ruud Gullit

    ChikaoBy ChikaoAugust 28, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    man u
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Gwiji wa soka wa Uholanzi, Ruud Gullit amesema tatizo la Manchester United lipo kwenye klabu na si kuhusu wachezaji.

    Kulingana na gwiji huyo wa soka, tatizo la Manchester United ni Manchester United na si kwa wachezaji.

    Alisema jinsi klabu imekuwa ikiendeshwa tangu kuondoka kwa Sir Alex Ferguson, ndio tatizo lenyewe.

    Kwa mujibu wa Gullit wachezaji walioihama klabu hiyo na kujiunga na vilabu vingine ndani ya kipindi hiki, wameenda kufanya vyema katika timu zao mpya, akiwatolea mfano Scott McTominay, [Napoli], Marcus Rashford, [Aston Villa, Barcelona] na Antony, [Real Betis].

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleSIMBA KUCHEZA NA TIMU YA BAJABER SIKU YA SIMBA DAY
    Next Article JEMBE JIPYA SIMBA SC LIMETAMBULISHWA NI SELEMAN MWALIMU

    Related Posts

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    April 7, 2026

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    April 4, 2026

    TETESI: TIMU YA MESSI YAMFUKUZIA BERNARDO SILVA

    March 25, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.