Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » TANZANIA KWENYE VITA UWANJANI NA MOROCCO CHAN 2024
    KITAIFA

    TANZANIA KWENYE VITA UWANJANI NA MOROCCO CHAN 2024

    ChikaoBy ChikaoAugust 22, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars leo Agosti 22 2025 ina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali dhidi ya Morocco ikiwa ni CHAN 2024.

    Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa saa mbili usiku huku benchi la ufundi la Stars likibainisha kuwa lipo tayari kuhakikisha matokeo yanapatikana ndani ya dakika 90.

    Hemed Suleman, Kocha Mkuu wa Stars amesema wanatambua kwamba mchezo hautakuwa mwepesi kutokana na ugumu wa hatua waliyopo lakini wapo tayari kwa ajili ya kupata matokeo mazuri.

    “Nimefarijika kuona tunatengeneza nafasi suala la kutuma nafasi bado tunaendelea kuhakikisha tunapamana nalo, kabla ya mashindano nilisema kuna changamoto katika umaliziaji lakini nashukuru tunaendelea vizuri tumefunga mabao matano katika hatua ya makundi.

    “Tunarudi katika robo fainali ni mechi ya maamuzi tunatkiwa kufunga magoli kwahiyo wachezaji wanaendelea kufanya mazozi ya kuona kila nafasi tunayopata tunaitumia. Wapinzani tunawaheshimu hivyo tutahakikisha tunapata matokeo kenye mchezo wetu muhimu.”

    Taifa Stars
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticlePITIA MAGAZETI YA MICHEZO LEO TAREHE 22 AGOSTI 2025
    Next Article STARS ICHEZE UWANJANI MASHABIKI WACHEZE JUKWAAMI

    Related Posts

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    April 19, 2026

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    April 19, 2026

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    April 19, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    SINGIDA BLACK STARS WAZIPIGA MKWARA SIMBA, YANGA NA AZAM FC

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.