Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป SINGIDA BLACK STAR KULIFANYA TAMASHA LA SINGIDA BIG DAY ARUSHA
    KITAIFA

    SINGIDA BLACK STAR KULIFANYA TAMASHA LA SINGIDA BIG DAY ARUSHA

    ChikaoBy ChikaoAugust 13, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Singida
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Klabu ya Singida Black Stars imetangaza rasmi kuwa tamasha lao la kila mwaka la ‘Singida Big Day’ litafanyika mwaka huu kwa mara ya kwanza jijini Arusha katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, tarehe 6 Septemba 2025.

    Black Stars wanafanya tamasha hilo nje ya Singida ni kufuatia ukarabati unaoendelea katika uwanja wa Airtel Stadium na CCM LITI mkoani Singida pamoja na lengo la kupanua wigo wa mashabiki wa timu hiyo kutoka kanda ya Kaskazini na kuimarisha hadhi ya Singida Black Stars kitaifa.

    Tamasha hilo litafanyika matukio muhimu kama utambulisho wa kikosi kipya cha Singida Black Stars pamoja na ripoti ya usajili wa msimu wa 2025/26 na mechi ya kirafiki kati ya Singida Black Stars na timu ya kimataifa.

    Singida Black Stars
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleISAK KUTOKUICHEZEA TENA NEWCASTLE HATAKAMA AKIKOSA TIMU
    Next Article HUYU HAPA KUULIZWA IKIWA SIMBA SC ITABUMA MSIMU MPYA

    Related Posts

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    April 19, 2026

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    April 19, 2026

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    April 19, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    SINGIDA BLACK STARS WAZIPIGA MKWARA SIMBA, YANGA NA AZAM FC

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.