Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป SELEMANI MWALIMU AWASILI TANZANIA KUJIUNGA RASMI NA SIMBA
    KITAIFA

    SELEMANI MWALIMU AWASILI TANZANIA KUJIUNGA RASMI NA SIMBA

    ChikaoBy ChikaoAugust 26, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    selemani mwalimu
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Mshambuliaji mpya wa Timu ya Taifa Stars Suleman Mwalimu amewasili jijini Dar es salaam kukamilisha taratibu za kujiunga na klabu ya Simba kwa mkopo wa mwaka mmoja akitokea Wydad Athletic.

    Mwalimu ambaye alikiwasha ligi kuu Tanzania bara akiwa na Singida BS na Fountain Gate atasalia jijini Dar es akiendelea na mazoezini binafsi mpaka pale kikosi cha Simba kitakaporejea nchini kutoka Misri kilipoweka kambi ya maandalizi ya msimu mpya.

    Simba itarejea Alhamisi ya Agosti 28 baada ya kukamilisha wiki nne za mazoezi katika kambi waliyokuwa wameiweka Ismailia na Cairo Nchini Misri.

    Simba SC
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleARAFAT ASEMA MIKAKATI YA YANGA KWENYE KUIBAKISHA NGAO YA JAMII JANGWANI
    Next Article YANGA KUKIPIGA DHIDI YA BANDARI YA KENYA

    Related Posts

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    April 19, 2026

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    April 19, 2026

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    April 19, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    SINGIDA BLACK STARS WAZIPIGA MKWARA SIMBA, YANGA NA AZAM FC

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.