Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » SAMATTA KUCHEZA LIGI KUU YA UFARANSA
    KITAIFA

    SAMATTA KUCHEZA LIGI KUU YA UFARANSA

    ChikaoBy ChikaoAugust 5, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Samatta
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania Mbwana Samatta ameripotiwa kuwa kwenye hatua za mwisho kujiunga na klabu ya Le Havre AC inayoshiriki Ligi Kuu nchini Ufaransa (Ligue 1).

    Samatta ambaye ni nahodha wa timu ya taifa Tanzania ‘Taifa Stars’ amemaliza mkataba na waliokuwa waajiri wake timu ya PAOK Thessaloniki kutoka Ugiriki aliyokuwa aliokuwa akiwatumikia kwa misimu miwili iliyopita.

    L’Équipe imeripoti kuwa Samatta tayari amewasili nchini Ufaransa kukamilisha dili hilo la kujiunga na klabu hiyo ya Normandy.

    Baada ya kuweka historia nyingi sasa Captain Diego anaenda kuweka Rekodi nyingine mpya ya kuwa mchezaji wa Kwanza raia wa Tanzania kucheza Ligue 1, ambayo Mabingwa watetezi ni klabu ya Paris Saint Germain inayoelezwa kuwa ndio Klabu bora kwa sasa Duniani.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleAHMED AZUNGUMZIA JUU YA TAARIFA ZA MPANZU KUTOPOKEA SIMU
    Next Article TETESI ZA SOKA LEO JUMANNE TAREHE 05-08-2025

    Related Posts

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    April 12, 2026

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    April 8, 2026

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    April 8, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.