Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป RUTO AAHIDI TSH 48 MILIONI KWA KILA MCHEZAJI HARAMBEE STARS KAMA WAKIIFUNGA ZAMBIA
    KIMATAIFA

    RUTO AAHIDI TSH 48 MILIONI KWA KILA MCHEZAJI HARAMBEE STARS KAMA WAKIIFUNGA ZAMBIA

    ChikaoBy ChikaoAugust 12, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Ruto
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Rais wa Kenya, William Ruto, leo amekutana na kikosi cha Harambee Stars na kutoa ahadi nono kuelekea mechi ya mwisho ya Kundi A ya michuano ya CHAN 2024 dhidi ya Zambia, itakayopigwa Jumapili katika Uwanja wa Kasarani.

    Ruto amethibitisha kutimiza ahadi yake ya awali ya kuwapa wachezaji KSh milioni 1 (TSH 19.2 milioni) kila mmoja kwa kila ushindi wa mechi za makundi, lakini safari hii ameongeza dau, akiahidi KSh milioni 2.5 (TSh 48 milioni) kwa kila mchezaji endapo wataibuka na ushindi dhidi ya Zambia.

    Zaidi ya hapo, Rais Ruto ameahidi kutoa KSh milioni 1 (TSH 19.2 milioni) na nyumba ya bei nafuu kwa kila mchezaji iwapo Harambee Stars watashinda mchezo wa robo fainali ya CHAN 2024.

    Ahadi hizo zimechochea ari ya wachezaji na mashabiki, huku matumaini yakiwa juu kwamba timu hiyo itaandika historia mpya kwenye mashindano hayo.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleRONALDO AMCHUMBIA MPENZI WAKE GEORGINA BAADA YA MIAKA 9
    Next Article PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO AGOSTI 13,2025

    Related Posts

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    April 17, 2026

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    April 16, 2026

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    April 7, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    SINGIDA BLACK STARS WAZIPIGA MKWARA SIMBA, YANGA NA AZAM FC

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.