Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป RONALDO AMCHUMBIA MPENZI WAKE GEORGINA BAADA YA MIAKA 9
    KIMATAIFA

    RONALDO AMCHUMBIA MPENZI WAKE GEORGINA BAADA YA MIAKA 9

    ChikaoBy ChikaoAugust 12, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Ronaldo
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Baada ya miaka 9 ya kuwa kwenye mahusiano, nguli wa soka Cristiano Ronaldo amemvalisha rasmi pete ya uchumba mpenzi wake Georgina Rodriguez, hii ikimaanisha kuwa ndoa ya wawii hao inanukia.

    Ronaldo na Rodriguez wana watoto wanne pamoja mapacha Eva Maria na Mateo (aliyezaliwa 2017), Alana (aliyezaliwa 2017) na Bella (aliyezaliwa 2022). Kwa bahati mbaya, pacha wa Bella alikufa mwaka 2022.

    Wanandoa hao pia wanaishi na mtoto mkubwa wa Ronaldo, Cristiano Ronaldo Jr. (aliyezaliwa mwaka 2010).

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleSIMBA SC YAANZA KAZI, YAPATA USHINDI MABAO 2-0 KAHRABA ISMAILIA
    Next Article RUTO AAHIDI TSH 48 MILIONI KWA KILA MCHEZAJI HARAMBEE STARS KAMA WAKIIFUNGA ZAMBIA

    Related Posts

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    April 7, 2026

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    April 4, 2026

    TETESI: TIMU YA MESSI YAMFUKUZIA BERNARDO SILVA

    March 25, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.