Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป RAIS WA FIFA AMPONGEZA KARIA KWA KUREJEA TENA MADARAKANI
    KITAIFA

    RAIS WA FIFA AMPONGEZA KARIA KWA KUREJEA TENA MADARAKANI

    ChikaoBy ChikaoAugust 19, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Rais wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), Gianni Infantino ametuma salama za pongezi kwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia kwa kuchaguliwa tena kuongoza nafasi hiyo kwa kipindi kingine cha miaka minne.

    Kupitia taarifa iliyotolewa leo na TFF imesema Rais Infantino amempongeza pia Makamu wa Rais, pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Utendaji waliochaguliwa katika uchaguzi huo.

    Aidha,Amemshukuru Rais Karia kwa juhudi, kazi na mchango wake muhimu katika maendeleo ya mpira wa miguu pamoja na kusimamia thamani yake na kumtakia heri na mafanikio.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleRAIS WA CAF AMPONGEZA RAIS WA TFF KWA KUREJEA TENA MADARAKANI
    Next Article NASIMAMA NA SIMBA NA AZAM WALIOCHAGUA KUKAA KIMNYA

    Related Posts

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    April 12, 2026

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    April 8, 2026

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    April 8, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.