Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป RAIS SAMIA AWAPA TAIFA STARS MILIONI 200 KABLA YA KUMENYANA NA MOROCCO
    KITAIFA

    RAIS SAMIA AWAPA TAIFA STARS MILIONI 200 KABLA YA KUMENYANA NA MOROCCO

    ChikaoBy ChikaoAugust 21, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, ameikabidhi timu ya taifa ya soka ya Tanzania (Taifa Stars) kiasi cha Milioni 200 za Kitanzania, wakati timu hiyo ikijiandaa kumenyana na Morocco katika mchezo wa robo fainali, utakaofanyika Agosti 22, 2025.

    Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi amesema kiasi hicho cha fedha ni kama zawadi na hamasa kwa wachezaji hao wanapojiandaa na mchezo muhimu dhidi ya Morocco.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleMESSI NDIO ALINIFANYA NIWE KOCHA BORA – MOURINHO
    Next Article WATATU WATAMBULISHWA YANGA SC AGOSTI, ASSINKI BEKI MGHANA NDANI

    Related Posts

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    April 19, 2026

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    April 19, 2026

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    April 19, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    SINGIDA BLACK STARS WAZIPIGA MKWARA SIMBA, YANGA NA AZAM FC

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.