Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป “NINA NJAA YA KUFANYA JAMBO KUBWA MSIMU HUU” – MBAPPE
    KIMATAIFA

    “NINA NJAA YA KUFANYA JAMBO KUBWA MSIMU HUU” – MBAPPE

    ChikaoBy ChikaoAugust 6, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Mbappe
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Mshambuliaji wa Real Madrid, Kylian Mbappe amesisitiza kwamba ana njaa ya kupata mafanikio makubwa msimu huu.

    Mbappe ameyasema hayo kupitia chapisho lake kwenye mtandao wake wa Instagram.

    Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 alisema:

    “Msimu mpya. Nina njaa ya kufanya jambo kubwa, Twende sote pamoja, Madridistas. HALA MADRID.”

    Nahodha huyo wa Ufaransa alijiunga na Real Madrid kutoka Paris Saint-Germain mwaka jana.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleSAMATTA ATAMBULISHWA RASMI LIGI KUU YA UFARANSA
    Next Article TAIFA STARS KAMILI KUWAKABILI MAURITANIA KWA MKAPA AGOSTI 6 2025

    Related Posts

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    April 17, 2026

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    April 16, 2026

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    April 7, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    SINGIDA BLACK STARS WAZIPIGA MKWARA SIMBA, YANGA NA AZAM FC

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.