Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » MSHAMBULIAJI WA MABAO JONATHAN SOWAH NI MNYAMA
    KITAIFA

    MSHAMBULIAJI WA MABAO JONATHAN SOWAH NI MNYAMA

    ChikaoBy ChikaoAugust 2, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    RASMI Simba SC imemalizana na mshambuliaji wa mabao Jonathan Sowah ambaye alikuwa mali ya Singida Black Stars na sasa atakuwa mali yao.

    Ikumbuwe kwamba Julai 31 2025 Simba SC ilitambulisha wachezaji wawili wapya ambao ni Morice Abraham alitambulishwa ndani ya Simba SC Julai 31 2025 na Hussein Daudi Semfuko alitambulishwa Simba SC, Julai 31 2025 kuwa ni mali ya Simba SC. 2024/25 alikuwa akicheza Coastal Union ya Tanga.

    Jonathan Sowah alikuwa ndani ya Singida Black Stars ni raia wa Ghana ambaye msimu wa 2024/25 akiwa na Singida Black Stars alifunga jumla ya mabao 13 kwenye ligi akiwa ni ingizo jipya dirisha dogo.

    Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC aliweka wazi kuwa Sowah ni mshambuliaji mzuri na ana kazi kubwa uwanjani hivyo kumpata ni faida.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleMAGAZETI YA MICHEZO LEO JUMAMOSI TAREHE 2-8-2025
    Next Article CAF YAMFUTA KAZI MKURUGENZI MKUU WA WAAMUZI KUFUATIA SAKATA LA FAINALI YA WAFCON YA WANAWAKE

    Related Posts

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    April 12, 2026

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    April 8, 2026

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    April 8, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.