Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » MOROCCO YAWASILI RASMI TANZANIA KUKABILIANA NA STARS CHAN 2024
    KITAIFA

    MOROCCO YAWASILI RASMI TANZANIA KUKABILIANA NA STARS CHAN 2024

    ChikaoBy ChikaoAugust 21, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Morocco
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Kikosi cha wachezaji pamoja na viongozi wa timu ya Taifa ya soka ya Morocco, inayofahamika kama ‘Simba wa Milima ya Atlas’, kimewasili Dar es Salaam kwa maandalizi ya mchezo wa robo fainali ya CHAN 2024 dhidi ya ‘Taifa Stars’ ya Tanzania.

    Mabingwa hao wa CHAN mara mbili watakutana na Tanzania katika mchezo utakaofanyika Agosti 22 mwaka huu katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
    Mashindano hayo  ya CHAN 2024 yameandaliwa kwa ushirikiano wa Tanzania, Kenya, na Uganda.
    CAF
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticlePITIA MAGAZETI YA MICHEZO LEO TAREHE 21 AGOSTI 2025
    Next Article Dahane Beida hakimu mechi ya Tars na Morocco kesho.

    Related Posts

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    April 12, 2026

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    April 8, 2026

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    April 8, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.