Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » MASTAA YANGA SC WAKIMBIZWA KUSAKA PUMZI NA UIMARA
    KITAIFA

    MASTAA YANGA SC WAKIMBIZWA KUSAKA PUMZI NA UIMARA

    ChikaoBy ChikaoAugust 20, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    MASTAA wa kikosi cha Yanga SC kinachonolewa na Kocha Mkuu,Romain Folz Agosti 19 2025 walikuwa kwenye mazoezi maalumu katika fukwe za Coco Beach Dar kwa lengo la kusaka pumzi na kuwa imara zaidi.

    Ikumbukwe kwamba Yanga SC ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo ni namba nne kwa ubora Afrika.

    Msimu wa 2024/25 walikuwa chini ya Kocha Mkuu, Miloud Hamdi ambaye alipewa Thank You na mikoba yake ipo mikononi mwa Folz.

    Kwenye program ya ufukweni wachezaji walikuwa kwenye kazi kubwa chini ya kocha wa viungo Chyna Mok ambaye aliweka wazi kuwa ni mpango maalumu kuhakikisha kuwa wachezaji wanakuwa fiti asilimia kubwa.

    “Malengo yetu ni kuona kwamba wachezaji wanakuwa fiti asilimia kubwa na kila kitu kinakwenda vizuri.Tunahitaji kuwa imara hasa ukizingatia kwamba Yanga SC ni timu kubwa na wachezaji wanatambua hilo,”.

    Miongoni mwa wachezaji ambao walikuwa kwenye program hiyo ni Fardi Mussa, Bakari Nondo,Pacome, Kibwana Shomari.

    Yanga SC
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticlePITIA MAGAZETI YA MICHEZO LEO TAREHE 20 AGOSTI 2025
    Next Article MASHABIKI WA SIMBA SASA KUSAJILIWA KAMA WANACHAMA WAPYA

    Related Posts

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    April 19, 2026

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    April 19, 2026

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    April 19, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    SINGIDA BLACK STARS WAZIPIGA MKWARA SIMBA, YANGA NA AZAM FC

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.