Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » JKT TANZANIA KUKOMAA NA KIPA NA BEKI ALIYETAJWA YANGA SC
    KITAIFA

    JKT TANZANIA KUKOMAA NA KIPA NA BEKI ALIYETAJWA YANGA SC

    ChikaoBy ChikaoAugust 6, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Jkt Tanzania
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    UONGOZI wa JKT Tanzania umebainisha kuwa wachezaji wao wote muhimu wana mipango nao hivyo itakuwa ngumu kwao kuondoka kwenda kupata changamoto mpya kwa msimu ujao.

    Ilikuwa inaelezwa kuwa timu zenye maskani yake Kariakoo ikiwa ni Simba SC na Yanga SC zilikuwa zinawania saini ya beki wa JKT Tanzania huku Simba SC ikipiga hesabu kupata saini ya kipa wa JKT Tanzania.

    Kwa maana hiyo kipa Yacoub Selemani na Wilson Nangu ambaye ni beki bado wapo ndani ya JKT Tanzania kuelekea msimu mpya wa 2025/26 baada ya madili yao kuzuiwa.

    Nangu na Yacouba ambao wapo katika kambi ya timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars inayoshiriki CHAN na Agosti 6 itakuwa na mchezo dhidi ya Mauritania, Uwanja wa Mkapa saa mbili usiku.

    Ofisa Habari wa JKT Tanzania, Masau Bwire anasema kuwa “Nangu na Yacouba wapo na wataendelea kuwepo hadi hadi 2028, hatuna mpango wa kuwauza kwa sasa kutokana na malengo tuliyokuwa nayo msimu ujao.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleMPANZU AWASILI KAMBINI MISRI, AKABIDHIWA VIFAA VYAKE
    Next Article MOHAMMED HUSSEIN ATAMBULISHWA RASMI YANGA

    Related Posts

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    April 12, 2026

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    April 8, 2026

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    April 8, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.