Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป JEMBE JIPYA SIMBA SC LIMETAMBULISHWA NI SELEMAN MWALIMU
    KITAIFA

    JEMBE JIPYA SIMBA SC LIMETAMBULISHWA NI SELEMAN MWALIMU

    ChikaoBy ChikaoAugust 28, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Simba SC
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    RASMI Simba SC imemtambulisha mshambuliaji mpya ambaye atakuwa katika kikosi hicho kwa msimu ujao unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa ndani ya uwanja.

    Nyota huyo ambaye ni mshambuliaji wa zamani wa Singida Black Stars alihudumu Fountain Gate kwa mkopo kisha aliuzwa Wydad Casablanca ya Morocco, anarejea Tanzania katika kikosi cha Simba SC.

    Atakuwa na uzi wa Simba SC kwa mkopo kwa kuwa ni mali ya Wydad Casablanca ambayo imefikia makubaliano na Simba SC kuhusu mchezaji huyo mzawa.

    Ikumbukwe kwamba Simba SC kambi yake ilikuwa Misri na kikosi hicho kinatarajiwa kurejea Tanzania leo Agosti 28 2025 kwa maandalizi ya mwisho kuelekea Simba Day.

    Tayari uongozi wa Simba SC umetangaza siku ya tamasha lao la kuwatambulisha wachezaji na benchi la ufundi maarufu kwa jina la Simba Day ambayo itakuwa Septemba 10 2025.

    Simba SC
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleTatizo la Man U lipo kwa klabu sio wachezaji – Ruud Gullit
    Next Article PITIA MAGAZETI YA MICHEZO LEO TAREHE 29 AGOSTI 2025

    Related Posts

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    April 19, 2026

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    April 19, 2026

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    April 19, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    SINGIDA BLACK STARS WAZIPIGA MKWARA SIMBA, YANGA NA AZAM FC

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.