Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป HUYU HAPA MCHEZAJI ANAEKIPIGA AKIWA NA MIAKA 47
    KIMATAIFA

    HUYU HAPA MCHEZAJI ANAEKIPIGA AKIWA NA MIAKA 47

    ChikaoBy ChikaoAugust 28, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Mchezaji
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Mchezaji Stella Williams wa Beauties FC ya Namibia, mwenye miaka 47 ameweka historia kwa kuwa mchezaji mwenye umri mkubwa zaidi kucheza mechi za kufuzu kwa Ligi ya Mabingwa ya CAF Kwa ukanda wa COSAFA

    Stella Williams anayemudu kucheza eneo la kiungo msimu uliopita aliisaidia timu yake Kwa 90% ya mechi zake na kunyakua ubingwa wa Ligi Kuu ya Namibia ya FNB na kupata nafasi ya kushiriki mashindano hayo ya kusaka tiketi ya kushiriki Ligi ya Mabingwa Afrika.

    Mchezaji huyo aliifunga magoli mawili Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Twiga Stars’ akiwa na mwaka 2013.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleSIMBA KUTO KUCHEZA TENA KARIAKOO DABI, AHMED ALLY AELEZEA UKWELI
    Next Article SIMBA KUCHEZA NA TIMU YA BAJABER SIKU YA SIMBA DAY

    Related Posts

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    April 7, 2026

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    April 4, 2026

    TETESI: TIMU YA MESSI YAMFUKUZIA BERNARDO SILVA

    March 25, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.