Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป Eberechi Eze na Arsenal jambo limekwiva.
    KIMATAIFA

    Eberechi Eze na Arsenal jambo limekwiva.

    ChikaoBy ChikaoAugust 23, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Aliyekuwa mshambuliaji wa klabu ya Crystal Palace raia wa Uingereza Eberechi Eze ni rasmi amesaini mkataba wa kuitumikia klabu ya Arsenal kilichosalia tu ni utambulisho.

    Siku ya jana nyota huyo aliripotiwa kufanya vipimo vya afya na leo mapema taarifa kutoka Uingereza zinaripoti kuwa nyota huyo amesaini kuitumikia klabu hiyo ya ndoto zake na muda wowote atatambulishwa.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticlePITIA MAGAZETI YA MICHEZO LEO TAREHE 23 AGOSTI 2025
    Next Article ATLETICO MADRID KUTAFUTA NAFUU BAADA YA KUPOTEZA MCHEZO ULIOPITA, BUNDESLIGA, SERIE A, EPL KITAWAKA!

    Related Posts

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    April 7, 2026

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    April 4, 2026

    TETESI: TIMU YA MESSI YAMFUKUZIA BERNARDO SILVA

    March 25, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.