Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป DROO YA KOMBE LA DUNIA KUFANYIKA DISEMBA 5 NCHINI MAREKANI
    KITAIFA

    DROO YA KOMBE LA DUNIA KUFANYIKA DISEMBA 5 NCHINI MAREKANI

    ChikaoBy ChikaoAugust 24, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Kombe la Dunia
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Droo ya makundi ya Kombe la Dunia 2026 imepangwa kufanyika tarehe 5 Disemba 2025 katika Kituo cha Kennedy, Washington DC Nchini Marekani.

    Mashindano hayo yanayofanyika mara ya 23 yataandaliwa kwa mara ya kwanza na mataifa matatu ambayo ni Marekani,Mexico na Canada ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฆ, yakihusisha timu 48 kwa mara ya kwanza katika historia.

    Michuano hiyo itaanza kutimua vumbi rasmi Juni 11 hadi julai 19 mwaka 2026.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleGuardiola na vijana wake wachezea kichapo wakiwa nyumbani.
    Next Article PITIA MAGAZETI YA MICHEZO LEO TAREHE 25 AGOSTI 2025

    Related Posts

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    April 19, 2026

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    April 19, 2026

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    April 19, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    SINGIDA BLACK STARS WAZIPIGA MKWARA SIMBA, YANGA NA AZAM FC

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.