Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป Dahane Beida hakimu mechi ya Tars na Morocco kesho.
    KITAIFA

    Dahane Beida hakimu mechi ya Tars na Morocco kesho.

    ChikaoBy ChikaoAugust 21, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Dahame Beida refa wa kimataifa mwenye Beji ya FIFA toka nchini Mauritania ameteuliwa kuwa Refa wa VAR katika mchezo wa kesho wa dhidi ya Morocco katika michuano ya CHAN.

    Beida alishawahi kuchezesha mechi kati ya Yanga na Mamelod akakataa goli la Azizi ki lakini pia mechi ya Simba na Berkane akampa kagoma kadi nyekundu.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleMOROCCO YAWASILI RASMI TANZANIA KUKABILIANA NA STARS CHAN 2024
    Next Article BASII KWISHA MZUNGUKO KESHO FIKA KWA MKAPA TIKETI UTAIKUTA GETINI

    Related Posts

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    April 8, 2026

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    April 8, 2026

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    April 7, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.