Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป DABI YA KARIAKOO KUCHEZWA DECEMBER 13
    KITAIFA

    DABI YA KARIAKOO KUCHEZWA DECEMBER 13

    ChikaoBy ChikaoAugust 29, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Bodi ya Ligi kuu Tanzana (TPLB) imetangangaza rasmi ratiba ya Ligi Kuu Tanzania bara kwa msimu wa 2025/2026 inayotarajiwa kuanza Septemba 17 2025 na kumalizika May 23 2026.

    Katika ratiba hiyo, mchezo mkubwa wa dabi ya kariakoo kati ya Simba dhidi ya Yanga mzunguko wa kwanza ukipangwa kuchezwa tarehe 13/12/2025.

    Katika ratiba hiyo pia mechi za ufunguzi wa Ligi zinazotarajiwa kuchezwa tarehe 17/9/2025 ni pamoja na mchezo wa;

    KMC vs Dodoma Jiji (KMC)
    Coastal Union vs TZ Prisons (Mkwakwani)

    Ratiba imezingatia nafasi za mashindano ya kimataifa kwa ngazi ya klabu na timu za taifa lakini pia mashindano ya ndani kama Muungano (21 April mpaka 26 April), Mapinduzi (01 Jan mpaka 13 jan).

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleSIMBA SC YAMALIZANA NA BEKI MJESHI, KIPA WA CHAN
    Next Article Fenerbahce yamfuta kazi Jose Mourinho

    Related Posts

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    April 19, 2026

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    April 19, 2026

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    April 19, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    SINGIDA BLACK STARS WAZIPIGA MKWARA SIMBA, YANGA NA AZAM FC

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.