Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป Chelsea kwenye mazungumzo na Man U ili kumnunua Alejandro Garnacho
    KIMATAIFA

    Chelsea kwenye mazungumzo na Man U ili kumnunua Alejandro Garnacho

    ChikaoBy ChikaoAugust 9, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Manchester United na Chelsea wapo kwenye mazungumzo ya kuuziana mchezaji Mu-Argentina Alejandro Garnacho.

    United inamthaminisha Alejandro mwenye umri wa miaka 21 kwa Pauni milioni 50, ingawa Chelsea wanaamini wanaweza kujadiliana na kumpata kwa bei ya chini zaidi.

    Garnacho ameambiwa atafute klabu mpya na mabosi wa United na aliondolewa katika ziara ya Marekani na kocha Ruben Amorim.

    Amekuwa akifanya mazoezi nje ya kikosi cha kwanza tangu kikosi hicho kiliporejea Carrington siku ya Jumanne.

    Winga huyo wa Argentina ameweka wazi kuwa anachopendelea ni kuhamia Stamford Bridge.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleLEO NDIO LEO, TANZANIA VS MADAGASCAR CHAN 2024 KWA MKAPA
    Next Article MAGAZETI YA MICHEZO LEO JUMAMOSI TAREHE 09-08-2025

    Related Posts

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    April 7, 2026

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    April 4, 2026

    TETESI: TIMU YA MESSI YAMFUKUZIA BERNARDO SILVA

    March 25, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.