Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป BRIGHTON YAENDELEA KUSHIKILIA BOMBA BALEBA KWENDA MAN UTD
    KIMATAIFA

    BRIGHTON YAENDELEA KUSHIKILIA BOMBA BALEBA KWENDA MAN UTD

    ChikaoBy ChikaoAugust 15, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    baleba
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Brighton inahitaji Pauni 100 milioni ili kumuuza kiungo wao wa kati Carlos Baleba, 21, baada ya Manchester United kuonyesha nia ya kumsajili.

    Baleba, aliyesajiliwa kutoka Lille mwaka 2023, amekuwa mhimili muhimu wa safu ya kiungo ya Brighton msimu uliopita akicheza mechi 33, pia alishinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka wa klabu hiyo.

    Hata hivyo, Man United haina mpango wa kutoa kiasi hicho ingawa ofa yao ya kwanza inaweza kufikia Pauni 60 milioni.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleTETESI ZA SOKA ULAYA LEO IJUMAA 15-08-2025
    Next Article NYEMBERE ATEULIWA KUONGOZA KAMATI YA MUDA “TPBRC”

    Related Posts

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    April 17, 2026

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    April 16, 2026

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    April 7, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    SINGIDA BLACK STARS WAZIPIGA MKWARA SIMBA, YANGA NA AZAM FC

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.