Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » BOCCO NA MKUDE KUAGWA RASMI SIKU YA SIMBA DAY
    KITAIFA

    BOCCO NA MKUDE KUAGWA RASMI SIKU YA SIMBA DAY

    ChikaoBy ChikaoAugust 26, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Siku ya Simba ni nafasi kubwa ya kuwapa heshima watu waliofanya makubwa ndani ya Simba , tunatambua , tunakumbuka na tunathamini mchango wao , mwaka huu kwenye Simba Day tutawaalika wachezaji wetu wawili wa zamani ambao wamefanya makubwa ndani ya Simba yetu”

    “Nahodha wetu wa zamani ambaye amedunu Simba kwa miaka 6 , ambaye ametupa makombe 4 na ametupeleka Robo Fainali mara 4 , kwa sasa amestaafu rasmi soka hivyo ni nafasi ya sisi kumpa shukran John Rapahael Bocco”

    “Lakini siku hiyo hiyo tutaenda kumuaga nahodha wetu mwingine aliyeitumikia Simba kwa miaka 15 , ameondoka mwaka juzi lakini hatukupata nafasi ya kumuaga”

    “Hii ni fursa ya kipekee kwetu kumuaga kipenzi chetu Jonas Mkude” Amesema Ahmed Ally.

    Simba SC
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleSABABU YA SIMBA DAY KUWA SEPTEMBA, UZINDUZI NI IRINGA
    Next Article ARAFAT ASEMA MIKAKATI YA YANGA KWENYE KUIBAKISHA NGAO YA JAMII JANGWANI

    Related Posts

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    April 8, 2026

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    April 8, 2026

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    April 7, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.