Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » BASII KWISHA MZUNGUKO KESHO FIKA KWA MKAPA TIKETI UTAIKUTA GETINI
    KITAIFA

    BASII KWISHA MZUNGUKO KESHO FIKA KWA MKAPA TIKETI UTAIKUTA GETINI

    ChikaoBy ChikaoAugust 21, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Mkapa
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF limetangaza kuwa mashabiki wanaokaa eneo la mzunguko siku ya kesho wafike kwenye uwanja wa Benjamini Mkapa na watapewa tiketi ambazo zimenunuliwa na wadau kwa ajili ya kushuhudia mchezo huo.

    Mashabiki hao ambao watahitaji kupata tiketi hizo watakiwa kufika katika geti A upande wa chuo cha DUCE na geti B upande wa Uhasibu.

    “Tupo robo fainali tunakwenda nusu fainali pamoja, njoo Benjamin Mkapa kesho suala la kuingia uwanjani tuachie sisi tayari tumelimaliza kwa wenetu wa Mzunguko, mageti yetu ni A upande wa DUCE na B upande wa Uhasibu”.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleDahane Beida hakimu mechi ya Tars na Morocco kesho.
    Next Article MESSI NDIO ALINIFANYA NIWE KOCHA BORA – MOURINHO

    Related Posts

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    April 19, 2026

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    April 19, 2026

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    April 19, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    SINGIDA BLACK STARS WAZIPIGA MKWARA SIMBA, YANGA NA AZAM FC

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.