Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป AMORIM KOCHA WA MAN U, HANA UHAKIKA NA KIBARUA CHAKE
    KIMATAIFA

    AMORIM KOCHA WA MAN U, HANA UHAKIKA NA KIBARUA CHAKE

    ChikaoBy ChikaoAugust 30, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Kocha wa Manchester United, Ruben Amorim, amesema hajui nini kitatokea kwenye ajira yake wakati wa mapumziko ya kimataifa.

    Akijibu maswali ya wanahabari jana Ijumaa, kama alikuwa na uhakika wa kutofukuzwa wakati wa mapumziko ya kimataifa, alijibu: “Sijui nini kitatokea”

    “Matamanio yangu ni kuendelea, lakini sitakuahidi chochote kuhusu siku zijazo itakuwaje”

    “Lakini mimi ni Kocha wa Manchester United na nadhani hilo halitabadilika” alisema Amorim.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleYANGA SC KAMILI, MASHINE SITA ZAANZA KAZI
    Next Article CHELSEA YAMNASA ALEJANDRO GARNACHO KUTOKA MANCHESTER UNITED

    Related Posts

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    April 7, 2026

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    April 4, 2026

    TETESI: TIMU YA MESSI YAMFUKUZIA BERNARDO SILVA

    March 25, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.