Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » AHMED AZUNGUMZIA JUU YA TAARIFA ZA MPANZU KUTOPOKEA SIMU
    KITAIFA

    AHMED AZUNGUMZIA JUU YA TAARIFA ZA MPANZU KUTOPOKEA SIMU

    ChikaoBy ChikaoAugust 5, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    mpanzu
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba Ahmed Ally amezungumza kuhusu taarifa zilizoibuka asubuhi ya leo kuhusu mshambuliaji wao raia wa DR Congo Ellie Mpanzu kuwa amegoma kuwasili kambini mpaka sasa na amewazimia simu viongozi wake.

    Ahmed Ally ameandika ujumbe huku akiwajibu wazushi wa taarifa hizo na kuwataka wamtambulishe kwa sasabu nyota huyo hayupo kambini na wanahisi yupo kwao.

    “Waliosema Mpanzu harudi Simba ndio wanaohangaika kusema yupo Misri😀😀Waliojibadilisha majina na kujiita Eliiiza ndio wanapambana kutuma watu waandike Mpanzu amewasili kambini Misri leo”.

    “Yaani ghafla wamekua wasemaji wa kambi yetu.Na sisi tunawaambia mtambulisheni sasa huku kwetu hayupo tunahisi yupo kwenu😀😀”Ameandika Ahmed Ally.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleMAGAZETI YA MICHEZO LEO JUMANNE TAREHE 5-8-2025
    Next Article SAMATTA KUCHEZA LIGI KUU YA UFARANSA

    Related Posts

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    April 19, 2026

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    April 19, 2026

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    April 19, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    SINGIDA BLACK STARS WAZIPIGA MKWARA SIMBA, YANGA NA AZAM FC

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.