Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป YANGA YAIPIKU SIMBA KWENYE KUINASA SAINI YA KIUNGO HUYU
    KITAIFA

    YANGA YAIPIKU SIMBA KWENYE KUINASA SAINI YA KIUNGO HUYU

    ChikaoBy ChikaoJuly 15, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    MABINGWA mara 31 ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga SC inatajwa kuwa imefikia makubaliano na kiungo mshambuliaji wa Tabora United, Offen Chikola kwa ajili ya msimu ujao baada ya kufikia makubalian mazuri.

    Tetesiz za hivi karibuni zilieleza kiungo huyo kuwepo katika mazungumzo na Simba kwa ajili ya kuiimarisha safu ya kiungo ya timu hiyo, katika msimu ujao wa 2025/26.

    Kiungo tayari amemalizana na Yanga SC kwa kumpa mkataba wa miaka miwili, ambao utaanza kufanyakazi katika msimu ujao hivyo kuna uwezekano akapishana na Simba SC ambao walikuwa wanampigia hesabu.

    Simba SC Yanga SC
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleSIMBA SC BADO IPO KWENYE MCHAKATO WA KUJENGA KIKOSI
    Next Article MWAMBA HUYU WA KAZI KUSAINI YANGA SC

    Related Posts

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    April 19, 2026

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    April 19, 2026

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    April 19, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    SINGIDA BLACK STARS WAZIPIGA MKWARA SIMBA, YANGA NA AZAM FC

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.