Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » Taifa Stars kuvuna Bilioni 1 wakitwaa ubingwa wa CHAN.
    KITAIFA

    Taifa Stars kuvuna Bilioni 1 wakitwaa ubingwa wa CHAN.

    ChikaoBy ChikaoJuly 25, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Taifa Stars
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 🇹🇿 Dkt. Samia Suluhu Hassan atatoa kiasi cha shilingi Bilioni 1 Endapo Tanzania ‘Taifa Stars’ itabeba ubingwa wa mashindano ya CHAN 2024 yatakayoanza kutimua vumbi Agosti 2 mwaka huu.

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Palamagamba Kabudi amethibitisha hilo wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya michuano hiyo kwenye dimba la Benjamini Mkapa siku ya leo.

    “Naomba niutangazie umma wa Tanzania kuwa katika kuchagiza hamasa kwa Timu yetu ya Taifa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan ametoa ahadi ya donge nono la fedha Shilingi Bilioni siyo Milioni Bilioni 1 kwa vijana wetu wa Taifa Stars iwapo watafanikiwa kutwaa ubingwa wa mashindano haya ya CHAN” Amesema Waziri Kabudi.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticlePACOME ZOUZOUA KUBAKI YANGA MPAKA 2027
    Next Article Gwiji wa mieleka Duniani Hulk Hogan afariki Dunia.

    Related Posts

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    April 19, 2026

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    April 19, 2026

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    April 19, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    SINGIDA BLACK STARS WAZIPIGA MKWARA SIMBA, YANGA NA AZAM FC

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.