Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป RULANI MOKWENA ATIMKUA LIGI KUU YA ALGERIA KUINOA MC ALGER
    KIMATAIFA

    RULANI MOKWENA ATIMKUA LIGI KUU YA ALGERIA KUINOA MC ALGER

    ChikaoBy ChikaoJuly 14, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Rulani Mokwena
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Rulani Mokwena ametambulishwa rasmi na MC Alger kuwa kocha mkuu wa Mabingwa hao wa Ligi Kuu ya Nchini Algeria akichukua nafasi ya Khaled Ben Yahiam aliyepewa mkono wa kwaheri hivi karibuni.

    Kocha huyo mwenye umri wa miaka 38 raia wa Afrika Kusini ambaye ambaye alikuwa anakinoa kikosi cha Wydad Casablanca msimu uliopita amepewa mkataba wa miaka miwili ndani ya klabu hiyo MC Alger atakaoanza kuutumikia kuanzia msimu ujao.

     

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleSIMBA YAWAPIGA PANGA WACHEZAJI 11 KWA MPIGO
    Next Article SIMBA SC BADO IPO KWENYE MCHAKATO WA KUJENGA KIKOSI

    Related Posts

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    April 7, 2026

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    April 4, 2026

    TETESI: TIMU YA MESSI YAMFUKUZIA BERNARDO SILVA

    March 25, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.