Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » NAJIONA MTU MWENYE BAHATI SANA KUISHABIKIA YANGA – HARMONIZE
    KITAIFA

    NAJIONA MTU MWENYE BAHATI SANA KUISHABIKIA YANGA – HARMONIZE

    ChikaoBy ChikaoJuly 7, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Harmonize
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Staa wa muziki wa kizazi kipya nchini, Harmonize a.k.a Konde Boy, amefunguka kwamba ubingwa wa Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho iliyotwaa Yanga msimu huu vimempa furaha kubwa kwani, kulikuwa na kelele na hila nyingi kabla ya msimu wa 2024-2025 kufikia tamati.

    Harmonize ambaye ni shabiki wa Yanga, amesema anajiona mwenye bahati kwa kuishabikia timu yenye kubeba makombe kila uchao.

    “Najiona ni mtu mwenye bahati sana kuishabikia hii klabu yenye kubeba makombe kila kukicha. Najiona ni mwenye bahati sana kuishi kwenye hii karne  nakuweza kuiona Yanga SC noma kuliko Yanga ya msimu wowote,” alisema Harmonize na kuongeza;

    “Kuna muda hua nawaza hawa wenzangu wanaoshabikia timu nyingine walikua wapi kipindi sisi tunafanya chaguzi? Ndipo nagundua kwanini huwa wanapata maradhi kama vile pressure, kisukari na magonjwa mengine,” alitania.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleTETESI ZA USAJILI SIMBA LEO 2025/26
    Next Article CHAN MAMBO YANAZIDI KUPAMBA MOTO, WACHEZAJI WAELEKEA MISRI

    Related Posts

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    April 19, 2026

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    April 19, 2026

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    April 19, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    SINGIDA BLACK STARS WAZIPIGA MKWARA SIMBA, YANGA NA AZAM FC

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.