Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป KIUNGO HUYU WA MAMELODI KWENYE RADA ZA SIMBA
    KITAIFA

    KIUNGO HUYU WA MAMELODI KWENYE RADA ZA SIMBA

    ChikaoBy ChikaoJuly 25, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Simba
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Klabu ya Simba inaripotiwa kuwa kwenye mazungumzo na kiungo mshambuliaji wa klabu ya Mamelodi Sundowns Neo Maema ili kupata huduma yake kwa mkopo kuanzia msimu ujao.

    Taarifa kutoka kwa mwandishi mkubwa wa michezo wa Afrika Kusini ni kuwa viongozi wa Simba tayari wameanza mazungumzo na Maema ambaye msimu uliopita amekuwa akikosa nafasi kwenye kikosi cha kwanza cha Mamelodi.

    Maema mwenye umri wa miaka 29 alijiunga na Masandawana mwaka 2021 akitokea Bloemfontein Celtic amecheza michezo 120 na kufunga magoli 13 na kutoa pasi 14 za magoli.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleGwiji wa mieleka Duniani Hulk Hogan afariki Dunia.
    Next Article FRIJI LA AHMED ALLY LIMEGOMA KUGANDISHA, JONATHAN SOWAH NI MNYAMA

    Related Posts

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    April 19, 2026

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    April 19, 2026

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    April 19, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    SINGIDA BLACK STARS WAZIPIGA MKWARA SIMBA, YANGA NA AZAM FC

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.