Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป ISHU YA AUCHO NA YANGA YAFIKIA HAPA KWA SASA
    KITAIFA

    ISHU YA AUCHO NA YANGA YAFIKIA HAPA KWA SASA

    ChikaoBy ChikaoJuly 17, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    KHALID Aucho kiungo mkabaji wa Yanga SC huenda akaongeza mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia timu hiyo yenye maskani yake Jangwani.

    Yanga SC ni mabingwa wa ligi msimu wa 2024/25 na miongoni mwa wachezaji ambao walikuwa kwenye kikosi cha kwanza ni Aucho.

    Baada ya mechi 30 ambazo ni dakika 2,700, Aucho alicheza mechi 22 akikomba dakika 1,735. Katika mabao 83 yaliyofungwa na Yanga SC kwenye ligi alihusika kwenye mabao mawili, alifunga moja na kutoa pasi moja ya bao.

    Mkataba wa Aucho umegota mwisho baada ya msimu kukamilika. Taarifa zinaeleza kuwa huenda akaongeza mkataba wa mwaka mmoja kusalia ndani ya Yanga SC msimu wa 2025/26.

    Taarifa zinaeleza kuwa mazungumzo na Aucho na Yanga SC yamefikia sehemu nzuri na ataongeza mkataba wa mwaka mmoja kuendelea kuwa katika kikosi hicho chenye jumla ya mataji 31 ya ligi.

    Yanga SC
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleFEI TOTO RASMI KUCHEZA TIMU HII MSIMU WA 2025/2026
    Next Article FADLU DAVIDS ATAJA NI WACHEZAJI GANI WATABAKI SIMBA

    Related Posts

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    April 19, 2026

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    April 19, 2026

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    April 19, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    SINGIDA BLACK STARS WAZIPIGA MKWARA SIMBA, YANGA NA AZAM FC

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.