Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป CHAN MAMBO YANAZIDI KUPAMBA MOTO, WACHEZAJI WAELEKEA MISRI
    KITAIFA

    CHAN MAMBO YANAZIDI KUPAMBA MOTO, WACHEZAJI WAELEKEA MISRI

    ChikaoBy ChikaoJuly 9, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    KIKOSI cha Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars Julai 08 2025 kiliingia kambini Dar es Salaam kisha alfajiri ya kuamkia Julai 9 kimekwea pipa kuelekea nchini Misri kwa ajili ya kambi ya wiki tatu.

    Hivyo kuelekea CHAN mambo ni moto na maandalizi yanaendelea kwa kasi ikiwa ni mwendelezo wa ukarabati wa Uwanja wa Mkapa ambao upo tayari kwa asilimia kubwa kuelekea CHAN.

    Stars Agosti 02, 2025 itacheza mchezo wa ufunguzi wa mashindano ya Chan 2024 dhidi ya Burkina Faso kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam. Miongoni mwa wachezaji waliopo kwenye msafara ni Aishi Manula, Mohamed Hussen Zimbwe, Dickson Job.

    Kwa mujibu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na Serikali wamebainisha kuwa kwa kiasi kikubwa maandalizi yanakwenda vizuri kwa ajili ya mashindano hayo ya Chan.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleNAJIONA MTU MWENYE BAHATI SANA KUISHABIKIA YANGA – HARMONIZE
    Next Article SINGIDA BS YAMNYATIA KIPA WA SIMBA BAADA YA KUMALIZA MKATABA

    Related Posts

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    April 8, 2026

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    April 8, 2026

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    April 7, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.