Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » RAIS WA YANGA ACHUKUA FOMU YA UBUNGE KIGAMBONI
    KITAIFA

    RAIS WA YANGA ACHUKUA FOMU YA UBUNGE KIGAMBONI

    ChikaoBy ChikaoJune 30, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Hersi
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Rais wa Yanga SC, Mkandarasi Hersi Said amechukua Fomu ya kuwania Ubunge katika Jimbo la Kigamboni lililopo Jijini Dar es Salaam.

    Hersi mwenye ushawishi mkubwa katika masuala ya soka amechukua fomu hiyo leo kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).

    Ikumbukwe Jimbo hilo liliondokewa na aliyekuwa Mbunge wake Faustine Ndugulile aliyefariki dunia mwanzoni mwa mwaka huu alipokuwa nchini India kwa ajili ya matibabu.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleYANGA YATANGAZA KULITAKA KOMBE LA CRDB
    Next Article BEKI YANGA SC MKATABA WAKE UMEKWISHA, ATAJA ATAKAPOSAINI

    Related Posts

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    April 8, 2026

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    April 8, 2026

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    April 7, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.