Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป BAADA YA KUTOKA MAN U ‘TEN HAG’ ATAMBULISHWA LEVERKUSEN
    KIMATAIFA

    BAADA YA KUTOKA MAN U ‘TEN HAG’ ATAMBULISHWA LEVERKUSEN

    ChikaoBy ChikaoMay 26, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    ten hag leverkusen
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Aliyekuwa kocha mkuu wa klabu ya Manchester United Erik Ten Hag amesaini rasmi leo kuwa kocha mpya wa Bayer Leverkusen.

    Klabu ya Bayer Leverkusen imethibitisha kuwa Ten Hag amerithi rasmi mikoba ya aliyekuwa kocha wao Xabi Alonso, Huku Ten Hag amesaini mkataba wa miaka miwili hadi Juni 2027.

    Xabi ametimkia Real Madrid ambayo imemtambulisha rasmi jana.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleRASMI AZIZ KI AMEANZA KAZI NA TIMU YAKE MPYA YA WYDAD
    Next Article PITIA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO MEI 27, 2025

    Related Posts

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    April 17, 2026

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    April 16, 2026

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    April 7, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    SINGIDA BLACK STARS WAZIPIGA MKWARA SIMBA, YANGA NA AZAM FC

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.